Friday, June 25, 2010

MR. 2 a.k.a SUGU AJIUNGA NA CHAMA CHA CHADEMA!!



Sugu’ akionesha kadi yake baada ya kukabidhiwa na Kaimu Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mnyika (kushoto).

Wasanii ‘the big names ‘ kunako anga ya muziki wa Bongo Fleva, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Fred Malick ‘Mkoloni’ na Gerald Mwanjoka ’G Solo’, asubuhi ya leo wamejiunga rasmi na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kukabidhiwa kadi zao za uanachama. Tukio hilo limechukua nafasi katika Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA, zilizopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya GPL (LTD)

Blog Archive