M/kiti wa sherehe ya kuwaaga wahitimu ametangaza rasmi kuwa sherehe ya kuwaaga wahitimu TSAH 2010 itafanyika tar 26.june.2010 ,hivyo amewaomba watz kujitokeza kwa
wingi ktk kusherehekea sherehe hiyo itakayoambatana na michezo
mbalimbali,na party ya kipekee itafanyika LEONIA RESORT,24 km from
Secund.kwa kiingilio cha rup 800/=kwa kila mtzania njoo ushangweke mpaka
majogoo