KATIBU MSTAAFU TSAH BW. ABDALLAH MBAROK AREJEA NYUMBANI BAADA YA KUTIMIZA AHADI YAKE YA MASOMO MIAKA 3 HYDERABAD INDIA,HAPA AKIWA UWANJA WA NDEGE WA SHAMSHABAD MJINI HYDERABAD INDIA KWA AJILI YA SAFARI YA KUREJEA NYUMBANI TANZANIA
KATIBU ANAWATAKIA WANAJUMUIYA WOTE TSAH MASOMO MEMA ,ALISEMA KATIKA CHAKULA CHA PAMOJA CHA WANAJUMUIYA WOTE ALICHOKIANDAA NYUMBANI KWAKE TOLICHOWKI, NA KUONGEZEA KUWA KAMA KUNA SEHEMU ALIKWARUZANA NA MWANAJUMUIYA AMEMSAMEHE NA ALIOMBA NA YEYE ASEMEWE KWANI NDIO MAISHA YA BINADAMU YALIVYO.









