Saturday, May 8, 2010

M/KITI KAMATI YA KATIBA TSAH INDIA

M/kiti wa kamati ya
katiba TSAH BW CHIKOLONGO HOSEA (CHIKO)
anaondoka leo jmosi tar 8
kuelekea tanzania baada ya kumaliza ahadi yake ya masomo hapa
hyder,anawatakia watz wote masomo mema,M/kiti tsah na kwa naiba ya
viongozi wengine tunamtakia safari njema na mafanikio katika maisha yke

Blog Archive