Marehemu shakir Hamdoun Al-marhubiMarehemu alikuwa ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Osmania UNIV,kilichoko hapa hyderabad,alikuwa anasoma kozi ya BCA (post graduate)
Marehemu alikutwa nyumbani kwake amefariki dunia lakini mpaka sasa taarifa za kifo chake hazijajulikana ,mwili wa marehemu umepelekwa Gandhi hospital kwa uchunguzi zaidi

Mkiti wa kamati ya starehe TSAH mstahafu mwenye aliyevaa shati nyekundu alikuwepo kwenye mazishi na ndie aliyetayarisha hizi picha ...










walijitokeza wanafunzi wengi sana ,kuonesha kuwa bado wanampenda ndugu yaoTULIKUPENDA SANA NDUGU YETU LAKINI MWENYEZI MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI
tunamuomba Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pepa peponi
AMIN









