Wednesday, October 7, 2009

Ndo usafiri huo dar es salaama mjini

Nauli zimepanda sasa hivi kila mmoja anabuni usafiri wake ili aokoe gharama pichani wanaonekana wakazi wa chanika wakiwa katika pikipiki yenye matairi matatu, watu wengi waliishangaa kutokana na muundo wake.

Blog Archive