MECHI YA KIRAFIKI YA WANAFUNZI WATANZANIA WAISHIO HYD INDIA LEO SAA 5:00PM JIONI.
Mechi hiyo ilifanyika uwanja wa sainkpuri kati ya watanzania wanaoishi eneo la sainkpuri na wanaoishi eneo la mjini tolichowki/Nampally leo tarehe 31.10.2009 ambapo hadi mwisho walitoka 1-1 hawa ni baadhi ya wachezaji wakijiandaa kabla ya kuanza mechi huyu ni kijana Abdul Aziz kutoka eneo la mjini akijiandaa kuingia uwanjani hawa ni baadhi ya watanzania waliokuja kuangalia mechi uwanja wa sainkpuri