Saturday, October 17, 2009

Mh.. huyu jamaa kiboko anatibu magonjwa yote unayoyajua?


hiyo ndio dareslam mjini huyu mganga mwenye hili bango anatibu magonjwa yote ulimwenguni.............mh? Dareslam mjini kweli noma.

Blog Archive