JUMUIYA YA WATANZANIA HYDERABAD WALIVYOSHEREHEKEA UHURU WA TANGANYIKA 9th DEC
pichani juu ni timu ya wanafunzi hyde india Wayuganda wakijiandaa kuingia uwanjani kupambana na timu ya watz kwa ajili ya kuadhimisha sikukuu ya muungano wa tz 9th dec
Wa kwanza kushoto kabisa juu ni M/kiti wa jumuiya ya TSAH Bw ABDILLAH NKYA akiwa na wachezaji wa timu ya tsah (watz) kabla ya kuanza mpira uliondaliwa kwa ajili ya kuadhimisha uhuru wa tz 9TH DEC Hawa ni baadhi wa watz waliojitokeza kuangalia mechi kt ya watz v/s uganda kwa ajili ya kuadhimisha uhuru wa tanzania
kwenye byke ni mtoa habari wa jumuiya ya tsah Bw Dani msemo katika maadhimisho haya kulikuwa na mambo mbalimbali kama vile chakula cha pamoja cha wachezaji pamoja na kuandaliwa kwa mechi hii ambapo watz waliibuka kuwa washindi kwa magoli 3-1 dhidi ya waganda