Maadhimisho ya siku ya Mwl. J.k NYERERE LEO 14.OCT 2010
Mwalimu akiwa Butiama
Kaburi la Mwalimu Butiama
Mwalimu na Mama Maria enzi hizo Mwalimu na Mama Maria walipomtembelea mama mzazi wa Julius Kambarage Nyerere
Mwalimu akiingia kanisa la St. Peters. Alikuwa mcha Mungu sana
Mwalimu na Marais Kenneth Kaunda wa Zambia,
Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya na Dr Milton Obote wa Uganda
Mwalimu akimkumbatia JK baada ya kukubali matokeo ya kura za kuwa mgombea urais wa CCM Mwaka 2005 huko Dodoma Mwalimu akiongea na Mwandishi Freddy Macha walipokutana Rio de Janeiro, Brazil
Mwalimu na Mama Maria wakiwa India nyumbani
kwa Mama Indira Gandhi na mwanae Rajiv
Mwalimu akimkaribisha Madiba Ikulu, Dar
Mwalimu akitembea kuunga mkono Azimio la Arusha kwa kutembea toka Butiama Mwalimu, Mama Maria na Mzee John Malecela wakiwa na Iddi Amin, Uganda Mwalimu akiwa na viongozi wengine wa nchi zisizofungamana na upande wowote Mwalimu akitaniana na Tom Mboya na viongozi wengine Kenya
Mwalimu akisalimiana na Iddi Amin Dadah wakati wa mkutano wa OAU Addis Ababa, Ethiopia
Mwalimu na Mzee Malecela katika mkutano wa OAU ambapo Iddi Amini alikuwa akihutubia Mwalimu akicheza bao na wazee wa Butiama huku Rais Ali Hassan Mwinyi na Mama Maria wakishuhudia Mwalimu na Familia