CHAKULA CHA PAMOJA KILICHOANDALIWA NA BW ABDALLAH MBAROK NYUMBANI KWAKE JANA J/MOC MARA 2 BAADA YAKUTANGAZWA M/KITI MPYA WA TSAH BW ABDILLAH D.NKYA,
PICS JUU KUSHOTO NI ABDALLAH MBAROK,AB NKYA BLEST NA BW ALEX

BW.NKYA AKIWA NA MAALIM MOHAMED BEST MARA 2 BAADA YA KUALIKWA CHAKULA CHA UCKU NYUMBANI KWA MBAROK

HAPA WANAJUMUIYA WA TSAH WAKIPATA MLO WA PAMOJA NYUMBANI KWA MBAROK


WANAJUMUIYA WA TSAH WAKIWA KTK CHAKULA CHA PAMOJA NYUMBANI KWA MBAROK TOLICHOWKI JANA TAR.14.11.09