Sunday, October 18, 2009
MKUTANO WA WATANZANIA(tsah) WAISHIO HYDERABAD INDIA LEO 18.10.09 HAWA NI WANACHAMA WAKISIKILIZA MKUTANO
Mkutano huu ulifanyika leo tarehe 18.10.09 saa kumi kamili sainipuri,milembe ambapo agenda kubwa zilikuwa ni kupitisha baadhi vipengele katika katiba,kutoa hesabu na takwimu za viongozi waliopita,kukabidhi jumuiya kwenye body ya trastii,kuteua body ya uchaguzi pamoja nakutangaza cku ya uchaguzi.
vipengele vilivyopitishwa ktk katiba ni kuwepo kwa msaidizi wa katibu mkuu na katika wadhifa wa muweka hazina kutakuwa na wahakiki 2 ndani na nje wa ndani atachaguliwa na viongozi na wa nje atachaguliwa na wanajumuia wote kwa hiyo nafasc hii iko wazi kwa wagombea
Ndugu mtanzania fomu za uchaguzi au za kugombea nyadhifa mbalimbali zimeanza kutolewa leo na mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 28mwezi huu na uchaguzi utakuwa tarehe 1 Nov 2009
nafasi zitazogombewa ni; MWENYEKITI,
M/KITI MSAIDIZI,
KATIBU,
KAIMU MWENEZI,
NA MUWEKA HAZINA
FOMU ZA KUGOMBEA ZINAPATIKANA KWA
NDUGU
MATATA,
KAYOMBO,
LILIANI,
KAPESA,
SIMBO,
NA CHIKU
Blog Archive
-
▼
2009
(97)
-
▼
October
(67)
- MECHI YA KIRAFIKI YA WANAFUNZI WATANZANIA WAISHIO ...
- MTU MWENYE MDOMO MKUBWA KULIKO WOTE
- HUWEZI KUAMINI MTU ANAWEZA KUDONDOSHA MACHO YAKE C...
- MAMBO YA SUMBAWANGA HATA ULAYA YAPO
- MUONE MWARABU ANAVYOWATAFUNA SCORPIONS
- KUMBE SIMBA KWA PIG HATEMI MATE.....
- ze comedy na wazee w2
- ataka kufa kwa kumshangaa quick chick kwenye swimm...
- Congress Stakes Claim To Form Govt In Haryana
- Amitabh Bachchan in his childhood HUYU NDIE FOL...
- Situation In Pakistan is Very Serious: India
- MKUTANO WA WATANZANIA(tsah) WAISHIO HYDERABAD INDI...
- MTOTO NEAR TO ONE YEAR AKUTWA NA MAANDISHI YA QUR...
- PREZ OBAMA NDANI YA MZIKI WA KILATINO
- Mh.. huyu jamaa kiboko anatibu magonjwa yote unayo...
- HUYU NDIE M2 ANAEFIKIRIWA KUWAMFUPI KULIKO WOTE DU...
- HUYU NAE ATASTAAFU KABLA YA KUMALIZA UJENZI?????
- MAJIBU YA HOJA KUHUSU WA AFRICA KUWA NA AKILI KIDOGO.
- WATANZANIA WALE MAJANI?
- MWL.NYERERE na muungano
- Wasomi wa tz wasema nchi imekosa mwelekeo(haina di...
- TEN YEARS WITHOUT MWALIMU IN TZ
- LIL’ WAYNE CONFIRMS BABY WITH LAUREN LONDON
- MBINU ZA KUPATA KIPATO ZINAZO KERA DAR MJINI ...
- RAISI J K WA TZ ALIVYOTEMBELEA WAATHIRIKA WA MBAGA...
- MAMBO HUKO PWANI YA MTWARA TZ .fullpost{di...
- IS THIS HOW SWINE FLU IS SPREAD?
- CHILL OUT NA MJI WA TANGA TZ
- Idadi ya waislamu ulimwenguni yatolewa
- YAHYA KUTOKA TANZANIA AKIWA HOSPITAL YA APOLO MJIN...
- HUYU NDIE 50 CENT ALIWAONYA WA2 WACMKILIZE CHECK ...
- US President Wins Nobel Peace Prize OSLO: U.S. ...
- CAMERA MAN POSES huyu jamaa cjui alikuwa ana mpan...
- Rais Kikwete, taarifa kuhusu afya yake imethibitik...
- ZE COMEDY.,na wamachinga
- mwanablog cheka na dead terrorist...............
- B.W. Mkapa
- Elizabeth anatuhitaji sasa!!
- eti wewe mwanablog hilo hapo nyago wewe kama wewe ...
- Ndo usafiri huo dar es salaama mjini
- Haya ndio maisha tz Bila kipato huwezi kuishi.
- No title
- The World's Billionaires William Gates (III) aw...
- Warren Buffett 2
- Carlos Slim Helu & family rank3
- Lawrence Ellison rank 4
- Ingvar Kamprad & family rank5
- Karl Albrecht rank 6
- Mukesh Ambani rank 7
- Lakshmi Mittal rank 8
- Theo Albrecht rank 9
- Amancio Ortega rank 10
- The Top 10 Most Powerful Women in the world
- IMF Takes On Enhanced Global Role Posted: 05 Oc...
- elizabeth blackburn Posted: 05 Oct 2009 07:58 A...
- Don’t Play Politics With Us, SC Tells UP Govt P...
- 50 Cent Warns You! Listening To Fat Joe is Dangero...
- Annan ziarani Kenya kutathmini mabadiliko
- Rais Kikwete azidiwa ghafla akiwa jukwaani
- No title
- kanumba in big brother
- kijana wa B.COM nae alikuwepo..............
- kulikuwa hapatoshi zaga za kumwaga
- No title
- No title
- No title
- FRESHER'S PARTY AND BONANZA YA WABONGO INDIA
-
▼
October
(67)