Mechi hiyo ilifanyika uwanja wa sainkpuri kati ya watanzaniawanaoishi eneo la sainkpuri na wanaoishi eneo la mjini tolichowki/Nampally
leo tarehe 31.10.2009 ambapo hadi mwisho walitoka 1-1
hawa ni baadhi ya wachezajiwakijiandaa kabla ya kuanza mechi

huyu ni kijana Abdul Aziz kutoka eneo la mjiniakijiandaa kuingia uwanjani

hawa ni baadhi ya watanzania waliokujakuangalia mechi uwanja wa sainkpuri
