MAXIMO,hii mechi itakuwa kama tulivyoicheza kwenye hili draft sawa?mlionekana na uwoga sana kipindi cha kwanza ,cha msingi ni kupunguza uwoga wale ni wa2 weusi kama sisi,.lakini si mbaya tulivyoicheza 3-0 twendeni tu tukaonekana uwanjani taifa lituone...
WANJA LETU LA TAIFA TANZANIA LINAVYOONEKANA USIKUBrazil are to play Tanzania on 7 June in a World Cup warm-up match ahead of this summer’s finals in South Africa.
The Brazilians have become the first non-African team to schedule a friendly in Africa in the build-up to the tournament, which kicks off on 11 June.
Tanzanian Football Federation (TFF) spokesman Florian Kaijage told BBC Sport that a contract would be signed within the next two to three days

