Saturday, October 17, 2009

PREZ OBAMA NDANI YA MZIKI WA KILATINO

ILIKUWA FIESTA YA KUFA MTU ,OBAMA NA FAMILIA YAKE WOTE WALIJUMUIKA KATIKA KULICHEZA FIESTA LA KILATINO LILILOFANYIKA WHITE HOUSE